-
The Portuguese explorer Vasco da Gama is the first known European to reach the East African coast, landing at Kilimane, where he stayed for 32 days
-
Complete independence...
-
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akipita kukagua maduka ambayo yalivamiwa na mali kuibwa baada ya maasi ya Jeshi ya mwaka 1964. Picha hii ni barabara ya Kichwelle jijini Dar es Salaam ambayo sasa inaitwa barabara ya Uhuru maeneo ya Kariakoo. Kulikuwa na maduka, bazaars za Wahindi ambayo yalivunjwa na askari waasi na watu wakahamasishwa wabebe vitu vilivyokuwa humo ndani. Hii ilikuwa tarehe 20 Januari 1964 siku ya Jumatatu.
-
Warioba na Mwalimu Enzi za ujana
-
Nyerere akiwa na madiba
-
Hoteli ya chini ya maji